JESHI la Israel limefanya mashambulizi ya anga yaliyoilenga taasisi ya fedha inayodaiwa kuhusika kwa ufadhili wa silaha za ...
MWIMBAJI wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba 'King Kiba' ametunukiwa tuzo Bingwa wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike kupitia Kongamano ...
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Wanawake na Samia Mkoa wa Geita ili kuwawezesha ...
MAPIGANO yamezuka tena kati ya waasi wa M23 na wanamgambo wanaoungwa mkono na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ...
IMEELEZWA uwepo wa kambi za madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan umesaidia kuimarisha hali ya utoaji huduma za afya ...
MOLDOVA : KURA ya maoni iliyopigwa nchini Moldova ya mabadiliko ya katiba haijaonyesha ushindi wa kuruhusu nchi hiyo kujiunga ...
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Aslay Isiaka, ameungana na wadau wa burudani katika kuomboleza kifo cha muigizaji mkongwe, mzee ...
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imesema usalama wa anga na viwanja vya ndege uliopo ...
RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania ...
MSANII wa Bongo Fleva, Zuhura Othuman 'Zuchu' ameuliza swali lake kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Music Awards kuwa ...
KUANZIA Oktoba 26 hadi Novemba 1 mwaka huu wagombea wa ngazi mbalimbali za Serikali za Mitaa wanatakiwa kujitokeza kuchukua ...
WAZIRI wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka vijana nchini badala ya kuuliza nini nchi iwafanyie, ni vema wajiulize wao wataifanyia nini nchi yao. Nyalandu ameyasema hayo, alipoh ...