Rais wa Kenya William Ruto amezuru Haiti Jumamosi hii, Septemba 21, 2024. Katika ziara hii ya saa chache, mkuu wa nchi ya ...
Maafisa wa polisi wa Kenya waliotumwa nchini Haiti wanadai kucheleweshwa kwa malipo ya mishahara yao. Takriban maafisa 400 wa polisi nchini Kenya wametumwa Haiti katika kipindi cha miezi miwili ...
Vikosi vya Haiti kwa kushirikiana na polisi wa Kenya waliotumwa nchini humo, wameanzisha operesheni ya pamoja ya kuyafurusha magenge ya wahalifu. Vikosi hivyo vinatakakuyaondoa magenge hayo kutoka ...
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza muda wa siku tatu wa maombolezo ya kitaifa kufuatia mkasa wa moto uliowaka katika bweni la Hillside Endarasha katika kaunti ya Nyeri na kusababisha vifo vya ...
Serikali ya Kenya imependekeza kukodisha uwanja mkuu wa ndege wa Nairobi kwa Adani Group kwa miaka 30 ili kubadilishana na uwekezaji wa $ 1.85 bilioni. Hii itatumika kujenga njia ya pili ya ndege ...
Mataifa mengine yatakayopokea msaada huo ni pamoja na Myanmar, Mali, Burkina Faso, Haiti, Cameroon, Msumbiji, Malawi na Burundi.