Waziri wa Ulinzi wa Kenya Aden Duale amesema kuwa Kenya itashinikiza mashtaka dhidi ya mwanajeshi yeyote wa Uingereza anayedaiwa kuvunja sheria wakati wanajeshi hao walipokuwa nchini humo miongo ...
19 Julai 2023 Maandamano Kenya: Shirika la Save the Children laelezea hofu juu ya haki ya elimu kwa watoto Shirika la Save the Children lina wasiwasi mkubwa juu ya haki za watoto za elimu ...
Hapo jana, Jaji wa Mahakama Kuu Chacha Mwita amesema Mahakama ilitoa kibali kwa wabunge wa seneti kumuhoji Gachagua kwa mujibu wa katiba. Hali hii inakuja wakati Naibu Rais akikabiliwa na shinikizo ...
Kuna joto la kisiasa nchini Kenya kwa sasa hasa kile kinachoonekana kuwa ni masaibu yanayomuandama naibu rais Rigathi Gachagua, na madai kwamba wapambe wa rais William Ruto wanapanga kumtimua ofisini.