Rais wa Kenya William Ruto amezuru Haiti Jumamosi hii, Septemba 21, 2024. Katika ziara hii ya saa chache, mkuu wa nchi ya ...
Maafisa wa polisi wa Kenya waliotumwa nchini Haiti wanadai kucheleweshwa kwa malipo ya mishahara yao. Takriban maafisa 400 wa polisi nchini Kenya wametumwa Haiti katika kipindi cha miezi miwili ...
Maelezo ya picha, Polisi wa Kenya, ambao wamekabiliwa na ukosoaji nyumbani, watapimwa uwezo wao kikazi katika uwanja usiojulikana nchini Haiti. Umoja wa Mataifa umeunga mkono pendekezo la Kenya la ...
Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa polisi wa Kenya kutekeleza ahadi yao ya kusaidia kudhibiti magenge yaliyokithiri nchini Haiti, wiki sita baada ya kukanyaga taifa hilo la Karibea. Wakati ...
Vikosi vya Haiti kwa kushirikiana na polisi wa Kenya waliotumwa nchini humo, wameanzisha operesheni ya pamoja ya kuyafurusha magenge ya wahalifu. Vikosi hivyo vinatakakuyaondoa magenge hayo kutoka ...
Mataifa mengine yatakayopokea msaada huo ni pamoja na Myanmar, Mali, Burkina Faso, Haiti, Cameroon, Msumbiji, Malawi na Burundi.